Wednesday, October 3, 2012

LEO NANI KUSHANGILIA ZAIDI, BAHANUZI au NGASA? TABIRI UJISHINDIE MUDA WA MAONGEZI

 Leo jioni katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam, ni nani kati ya hawa atakayekuwa na furaha zaidi?, Ni Bahanuzi au Ngasa? Hapa ni Said Bahanuzi akishangilia moja ya bao lake katika moja ya mchezo hivi karibuni.
Je leo Mrisho Ngassa, atakuwa na jeuri ya kubusu tena Jezi ya Yanga, ama kushangilia kwa staili kama hii? hapa ni Ngasa alipokuwa akishangilia bao lake aliloifungia timu yake ya Azam katika moja ya mchezo wa Kombe la Kagame hivi karibuni na kushangilia kwa staili hii ya kuvaa jezi ya Yanga na kuibusu jambo ambalo lilimsababishia mtafaruku mkubwa na Klabu yake ya Azam na kupelekea kuuzwa kwa Klabu ya Simba.
 
MDAU TABIRI MCHEZO WA LEO KATI YA YANGA NA SIMBA KWA KUTAJA TIMU GANI ITASHINDA ILI UJIPATIE MUDA WA MAONGEZI WA SH. 10,000/= . TABIRI KWA KUANDIKA UTABIRI WAKO KUPITIA EMAIL YA anaclet105@hotmail.com, Andika namba yako ya simu.
 
TABIRI HAPA:-
1:- Mshindi wa mchezo wa leo ni..........
2:- Itashinda Mabao..............................
3:- Yote kipindi cha...............................
4:- Magoli................kipindi cha .............
5:- Goli................kipindi cha..................
6:- Wafungaji..........................................
7:-Mfungaji..............................................
8:- Namba yako ya simu.............................

No comments:

Post a Comment