Tuesday, October 16, 2012

HUYU NDIO MTOTO WA CHINEDU MUIGIZAJI MAARUFU KUTOKA NIGERIA

 
Huyu ndio mtoto wa muigizaji maarufu kutoka Nigeria anayejulikana kama Chinedu (AKI), na mtoto wake anaitwa Wololo. Chinedu sasa anaanza kuitwa baba.Tunamtakia malezi bora na mafunzo mazuri kwa mtoto wake.

No comments:

Post a Comment