Sunday, October 28, 2012

Hizi ni picha alizoziweka mwimbaji Diamond kwenye website yake, picha za utengenezaji wa cover la single yake mpya ya ‘nataka kulewa’.
.
.
.
.
.
Mkali Raqey akiwa kwenye kazi yake kama kawaida.
.
.
Baada ya kazi ya kupiga hizo picha… Cover lenyewe liko tayari, ndio hili hapa chini.
Kweli kila mtu na kazi yake, hongera sana Raqey.. hii picha imetoka fB ya Raqey

No comments:

Post a Comment