Sunday, October 14, 2012

.
  Injinia Bruce Campbell (62) ameamua maisha yake yasiwe kwenye nyumba bali kwenye ndege ya abiria Boeing 727-200 aliyoinunua kwa dola za kimarekani laki moja na kuitengeneza ikafaa kuishi huko Oregon Marekani.

  Mr Campbell anapikia chakula chake kwenye ‘the former cabin-crew kitchen’ na tayari ametengeneza choo cha ndege na sasa ni bafu lenye shower japo halisitiri vizuri lakini kasema kwa sababu anaishi msituni sio ishu.

.
.
.
Swali ni Je? hii ndege ilifikaje hapa?

.
.
.
.
.
Picha kutoka gazeti la Daily Mail.

.

No comments:

Post a Comment