Monday, October 1, 2012

DIAMOND VS NAJMA PHOTOS MH!!!! JAMANI HIZI PICHA ZINA UTATA AU NI MACHO YANGU;

Nikisema Najma lazima nikumbuke "DON'T LET ME GO" Najma ni Mtanzania ambaye muda mwingi uwa ugaibuni. Ila kwa sasa yupo Tanzania kwa ajili ya kumalizia wimbo wake na Mr Blue na Dully Sykes kupitia Dhahabu Records. Kwani soon utausikia kwenye Radio.Hizi Ni Picha akiwa kwenye Pozi Tofauti na Msanii Diamond, It's just picture don't judge.

No comments:

Post a Comment