Monday, October 1, 2012

AIRTEL YASHEREHEKEA UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA WATEJA WAKE

 Meneja Huduma kwa wateja wa Airtel Aneth Muga akitoa ufafanuzi wa moja ya huduma kwa wateja waliotembelea duka la Moroco leo ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja inayoanza leo ambapo Airtel inasherehekea na kuwashukuru wateja wake nchi nzima. Pichani ni baadhi ya watoa huduma kwa wateja wa Airtel wakiwapatia huduma wateja.
 
 Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja Adrian Lyamba (katikati) akiwaongeza wafanyakazi na wateja wa Airtel kukata Keki wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ambapo Airtel imejumuika na wateja wakekatika kusherehekea na kutaka keki pamoja na kuwashukuru kwa kutumia mtandao wa Airtel
 
 Mmoja wa wateja akimlisha kekiMkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja Adrian Lyamba wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika makao makuu ya Airtel jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment