Wednesday, October 3, 2012

Tazama picha Mbalimbali Kutoka Arusha baada ya Rufaa ya Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini(CHADEMA) Godbless Lema Kusogezwa Mbele

Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliyekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema, ilisikilizwa na kusogezwa mbele.
Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliyekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema, baada ya kusogezwa mbele.
Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)wakiongozana na aliyekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema Mbunge kutokea mahakamani ambapo rufaa yake ilisikilizwa.
Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliyekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema ikisikilizwa na kusogezwa mbele.
Aliyekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema akionekana juu ya gari pamoja naWafuasi wa Chama hicho wakitokea mahakamani.
Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakibembea juu ya gari la Mbunge.
Hili ni gari la aliyekua mbunge wa CHADEMA Bw. Godbless Lema.
M4C likifuata msafara wa Aliyekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema wakitokea mahakamani.
Kikosi cha usalama nacho kilikuwa kwenye msafara huo, japokuwa hapakuwa na kazi yeyote ya kufanya bali kuhakikisha Amani inatawala.

No comments:

Post a Comment