Tuesday, October 2, 2012

MBUNGE WA VITI MAALUM CCM MKOA WA MBEYA MARRY MWANJELWA ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI, GARI LAKE LATEKETEA KWA MOTO

 Mbunge wa Viti maalumu (CCM) Mkoa wa Mbeya, Mary Mwanjelwa, akiwa amepumzishwa katika Hospitali teule ya Ifisi iliyopo Songwe wilayani Mbeya vijijini, baada ya kupata ajali akiwa katikia gari lake lililogongana na Basi la abiria na kupapata ajali eneo la Mbalizi jana na kuuwa jumla ya watu 10 na wengine kujeruhiwa.
Masalia ya gari yenye namba za usajili T. 671 ABM aina ya Toyota Ranger mali ya mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Mary Mwanjelwa baada ya kuteketea kwa moto kufuatia  ajali iliyotokea eneo la Mbalizi kwa kugongana na basi la abiria jana.

No comments:

Post a Comment