Sunday, July 29, 2012

UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI,INAUOMBEA USHINDI TANZANIA ,OLYMPICS 2012 London

Tuwatakia Ushindi Wanamichezo wetu Katika mashindano ya Olympics 2012 London Umoja wa watanzania Ujerumani (UTU) unaungana na watanzania wote walio nyumbani na nje, kuwaombea kila la heri na ushindiwanamichezo wa Tanzania wanaoshiriki katika michuano ya Olympic 2012 London. Umoja ni Nguvu Mungu Ibariki Tanzania..
Mfundo Peter Mfundo Mwenyekiti Umoja waTanzania Ujerumani (UTU)

No comments:

Post a Comment