Thursday, July 26, 2012

LORI LA MCHANGA LAANGUKIA RAV4 MBEZI BEACH

* Ajali hii imetokea jana maeneo ya Mbezi Afrikana jijini Dar ambapo Lori hili lenye nambari za usajili T 545 BPU lililokuwa likimwaga mchanga na kujikuta likipiga mweleka na kuangukia Gari ndogo aina ya Toyota Rav4 yenye lambari za Usajili T839 BSL iliyokuwa imepaki katika eneo hilo.hakuna aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa katika ajali hii.*

No comments:

Post a Comment