Sunday, July 29, 2012

TAMASHA LA CHAGGA DAY 2012 LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Wadau wakipata mbege wakati wa tamasha la CHAGGA DAY lilofanyika katika  viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam jana na kushirikisha watu mbalimbali wa makabila ya kichaga, ambapo kulikuwa na vyakula vya kiasili, vinywaji na mambo mbalimbali ya kiasili

Bendi ya msondo ngoma ikitoa burudani wakati wa tamasha la Chagga Day.
 
Bendi ya msondo ngoma ikitoa burudani wakati wa tamasha la Chagga Day.
 
Watu mbalimbali walioudhuria katika chagga day wakipata yama choma
 
Wadau mbalimbali wakipata mbege pamoja na vyakula vya kiasili kama mseto Kiburu, ndafu, shiro, kitawamacharari, ngararimo, ng’ande, kisusio, mtori, Kisusio na vingine vingi

No comments:

Post a Comment