Saturday, July 28, 2012

AY

AY USO KWA USO NA JASON DARULO KUTOKA MAREKANI

"

Msanii Ay (Tanzania), sasa yuko kigali nchini Rwanda kwa ajili ya kupiga show kwenye tamasha la Primos Gumaguma Superstar, katika uwanja wa Amahoro, licha ya shavu hilo lakini pia atafanya makamuzi katika stage moja na msanii kutoka maandishi matatu USA, Jason Darula

No comments:

Post a Comment