Thursday, July 26, 2012

RAIS WA GHANA JOHN ATTAH MILLS AFARIKI DUNIA!

Rais wa Ghana John Evans Fifii Atta Mills enzi za uhai wake.*

Rais wa Ghana John Atta Mills amefariki dunia ghafla leo wakati akipata matibabu. Taarifa kutoka ofisi ya rais zinasema kuwa alifariki ghafla baada ya kupelekwa hospitali siku ya Jumatatu usiku. Msaidizi wake pia amethibitisha kufariki kwa kiongozi huyo aliyekuwa anajiandaa kugombea tena kiti cha urais. Rais John Atta Mills aliyezaliwa Julai 21, 1944 amefariki akiwa na umri wa miaka 68

No comments:

Post a Comment