Thursday, July 26, 2012

Rais Kikwete ashiriki katika mazishi ya mzee Azzan Ally Mangushi

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika mazishi ya kada wa CCM mzee Azzan Ally Mangushi yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo mchana. Mzee Mangushi aliwahi pia kuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Kinondoni.*

No comments:

Post a Comment