Thursday, July 26, 2012

BIBI WA LULU ATUA KORTINI!

HUKU kesi ya kushukiwa kuhusika na mauaji ya marehemu Steven Kanumba ikiendelea kumkabili nyota wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, bibi yake na msanii huyo alitinga kortini kusikiliza kesi ya mjukuu wake. Bibi huyo ambaye alitajwa kwa jina moja la Elizabeth, ilielezwa ni mama mzazi wa mama wa msanii huyo Lucresia Karugila, alitinga katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, juzi, Jumatatu, jijini Dar es Salaam akiwa ameongozana na mwanaye (mama’ke Lulu) na ndugu wengine.

No comments:

Post a Comment