Saturday, July 28, 2012

AY akiongea kuhusu kolabo

"kama nitapata nafasi yakufanya nae kolabo, nitafanya lakini sijafikiria kiiivyo, ni msanii mzuri na anafahamika dunia nzima, lakini nauhakika tutakaa tutaona biashara gani ya kufanya, kwenye mziki au kuwekeza kwenye biashara yoyote."amesema AY baada ya kumuuliza kuhusu kolabo na mchizi

No comments:

Post a Comment