Monday, July 23, 2012

Picha yetu ya leo::::::::Usalama Barabarani

Vijana wakiwa wamepanda kwenye lori la kubebea mchanga na vifaa vya ujenzi jambo ambalo ni hatari kwa usalama wao kama walivyokutwa na kamera yetu, Ipogolo, Manispaa ya Iringa.

No comments:

Post a Comment