Wednesday, August 22, 2012

TAMASHA LA GRAND MALT LAFANA COCOBEACH

Msanii mkali wa Muziki wa Hip Hop hapa nchini,Roma Mkatoliki akitoa burudani kabambe kwa washabiki wake walikuwa wamefukika kwa wingi katika viwanja vya Fukwe ya Coco Beach,jijini Dar es Salaam ikiwa ni bonanza la vinywaji visivyo na kilevu vya Grand Malt na Vita Malt kutoka kampuni ya bia Tanzania (TBL).
Wasanii wa Kundi la TMK Wanaume Family,Chegge na Temba wakifanya vitu vyao wakati wa Bonanza na Grand Malt na Vita Malt,kwenye viwanja vya Fukwe ya Coco Beach jijini Dar es Salaam.
Bibi. Cheka kutoka TMK wanaumeeee akichana ile michano ya kifree style mbele ya umati wa watu uliokuwa umefurika kwenye viwanja vya fukwe ya Coco Beach,jijini Dar es Salaam.
Temba na Chegge wakikamua kisawasawa.
Mh. Temba na Bibi Cheka wakienda sambamba.
Chegge kazini.
Jukwaa la ukweli na la kisasa ndilo lililokuwa limefungwa.
Dogo mwingine kutoka TMK Wanaume Family aitwae Mwarami Hamis a.k.a Dogo Muu akifamua stejini.
Msanii Machachari toka kundi la TMK Wanaume Family,Dogo Asley kifanya vitu vyake stejini.
Wazee wa kuchana wakipena makavu stejini.
Wazee wa Kugansi.
Nyomi si la kitoto.
Mwanamke nyongaaaaa.....nanihii ni Majaaaliwaaaaa....

No comments:

Post a Comment