Wednesday, August 22, 2012

NBC YATOA HELA KWA WASHINDI WA PROMOSHENI DABO MSHIKO

 Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC, Salome Mayenga akionyesha pesa alizoshinda katika hafla ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa promosheni hiyo jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni maofisa wa benki hiyo, Gaudence Shayo (kushoto) na Loiruck Mollel (kulia).
 
 Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC, Wilbert Muganyizi akionyesha pesa alizoshinda katika hafla ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa promosheni hiyo jijini Dar es Salaam.
 
Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC, Yahaya Makame akionyesha pesa alizoshinda katika hafla ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa promosheni hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa wa benki hiyo, Gaudence Shayo.
 
 Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC, Justin Fabian  akionyesha pesa alizoshinda katika hafla ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa promosheni hiyo jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni maofisa wa benki hiyo, Gaudence Shayo (kushoto) na Judith Motta.

No comments:

Post a Comment