Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ahaj Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na Viongozi wa Mikoa ya Pemba katika Uwanja wa Ndege wa Karume
Pemba,baada ya kumaliza Ziara ya kisiwani humo.