Thursday, August 2, 2012

BANC ABC YAFUTURISHA WADAU WAO

Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa akiomba dua wakati wa hafla ya kufuturisha iliyofanyika jijini Dar es Salaam.Wadau mbalimbali wakipata futari. Mkurugenbzi Mkuu wa Benki ya ABC, Boni Nyoni (kushoto) akijumuika na wadau wa Banc ABC wakati wa kupata futari Mtwa Lawrence (kulia), akipata futari wakati wa hafla hiyo. Mkurugenbzi Mkuu wa Benki ya ABC, Boni Nyoni (kushoto) akimshukuru Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, baada ya futru iliyoandaliwa na benki hiyo jana jioni kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment