Wednesday, August 22, 2012

HUYU NDIO MISS WORLD 2012


Huyu ni Yu Wenxia (23) kutoka China ambaye ndiye ametangazwa mshindi katika Miss World 2012 ambapo hii inakuwa mara ya pili kwa China kushinda Miss World, mara ya kwanza ilikuwa 2007.
.


Aliye mbele kushoto ndio Miss World 2012 namba mbili kutoka Wales, wa katikati ndio Miss World 2012 kutoka China na mshindi wa tatu aliye kulia ni kutoka Australia.

.

.
Picha za chini zinazofuata ni wakati wakiwa backstage.

.

Mamiss kutoka nchi mbalimbali.

Miss Lebanon.

Miss Hungary 2012 na Miss Slovania 2012.

Miss Cyprus 2012.

Miss Kazakstan.

Miss South Sudan.

No comments:

Post a Comment