Thursday, August 2, 2012

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Lushoto, Henry Shekifu (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment