Thursday, August 2, 2012

DK.SHEIN ZIARANI PEMBA Dk

 Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana
na Wazee wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba
Leo,akiwa katika ziara maalum kisiwani humo. [Picha zote na Othman Maulid.]
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akisalimiana
na Wazee wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba
Leo,akiwa katika ziara maalum kisiwani humo.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na
Watoto wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba
Leo,akiwa katika ziara maalum Kisiwani hum.

No comments:

Post a Comment