Thursday, August 2, 2012

KAMA WEWE NI DEREVA, INABIDI UCHEK HII VIDEO INAYOONYESHA LIVE ZAIDI YA AJALI KUMI ZA UZEMBE. Posted: 2nd August 2012 in News 4 Kwenye nchi zilizoendelea, kupata video za jinsi hali ilivyo kwenye barabara sio kitu kigumu kwa sababu kuna kamera zimefungwa sehemu mbalimbali barabarani, hii video ni mkusanyiko wa video mbalimbali zikionyesha ajali za kizembe zilizotokea katika maeneo mbalimbali. Pamoja na ukubwa wa barabara, taa za barabarani zinazofanya kazi, ubora wa barabara lakini bado kuna ajali za kizembe zinatokea kama hizi, sio video mpya lakini sikuwahi kuiona ndio maana nimeamua kushare na wewe.

No comments:

Post a Comment