Wednesday, August 15, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUTURIASHA WANANCHI WA KISIWA CHA PEMBA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya Viongozi na wananchi wa Kisiwa cha Pemba, katika Futari aliyowaandalia wananchi hao na kufuturu nao kwa pamoja katika Ukumbi wa Makonyo Chakechake Pemba jana. 
 
 Wake wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal (katikati) Mama Asha Bilal (wa pili kulia) wakijumuika na wananchi katika hafla ya futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais iliyofanyika katika Ukumb wa Makonyo Chakechake Pemba jana.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wananchi wa Kisiwa cha Pemba, baada ya hafla fupi ya futari aliyowaandalia wananchi hao na kufuturu nao pamoja katika Ukumbi wa Makonyo Chakechake Pemba jana. 
 
No comments:

Post a Comment