Thursday, August 2, 2012

Ratiba kamili ya Uchaguzi na Operesheni M4C ndani ya CHADEMA

Uchaguzi ndani ya Chama na Operesheni Sangara
Ratiba mpya ya operesheni Sangara baada ya maagizo ya Kamati Kuu iliyokaa tarehe 9 July 2012 ya kusimamisha uchaguzi ndani ya Chama. Kamati Kuu iliamua uchaguzi uwe ukifanyika katika Operesheni Sangara.

DATEENEO HUSIKASHUGHULI
104/08 2012Kanda ya katiUzinduzi wa operesheni
205/8-19/08/ 2012Dodoma,singida,iringa manyara na morogoroOperesherni uchaguzi ngazi ya kata.
319/09-30/09/2012Makao makuuMaandalizi
Tathimini ya operesheni
401/10-20/2012Baadhi ya maeneo ya Lindi, Dsm,Pwani, Bagamoyo na TangaOPERESHENI
Uchaguzi ngazi ya matawi na kata
521/10/30/10/2012Makao makuuTathimini
Maandalizi
601/11-20/11/2012Kilimanjaro na ArushaOperesheni
Uchaguzi ngazi ya matawi
721/11-30/11/2012Makao makuuTathimini
maandalizi
801/12-20/12/2012Shinyanga,Tabora na SimiyuOperesheni na uchaguzi ngazi ya matawi na kata
901/01-25/01/2013Mwanza,Geita, Mara na kagera
1026/01-30/2013Makao makuuTathimini
1101/02-20/02.2013Kigoma, katavi RukwaOperesheni na uchaguzi ndani ya chama
1221/02-30/02/2013Makao makuuTathimini ya operesheni
1301/03-25/03/2013Mbeya, njombe na RuvumaOperesheni uchaguzi
1426/03-30/03/2013Makao makuutathimini
1501/04-25/04/2013ZanzibarOperesheni na uchaguzi
1626/04-30            
/04/2013Makao makuutathimini


  



No comments:

Post a Comment