Thursday, August 2, 2012

MAAJABU YANAZIDI KUTOKEA AFRICA MTOTO MWENYE MIGUU MITATU AZALIWA

MTOTO wa kike mwenye miguu mitatu amezaliwa huko Nigeria katika Jimbo la Borno. Mtoto huyo aliyebatizwa jina la Nafisat amezaliwa katika familia ya Ahmed inayoishi katika Kata ya Bayo mjini Borno.

No comments:

Post a Comment