*SPIKA WA BUNGE MSTAAFU,MH. SAMUEL SITTA AAGWA RASMI MJINI DODOMA
Spika
wa bunge Anne Makinda akizungumza katika hafla ya kumuaga Spika Mstaafu
Samuel Sitta kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma.
Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na Mheshimiwa Dr. Maua
Daftari ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa Kamati ya hafla ya kumuaga Spika
wa zamani,Mh. Samuel Sitta kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi zake pichani
kwa Spika mstaafu. Samuel Sitta katika hafla ya kumuaga Spika huyo
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.Kushoto kwake ni
mkewe Tunu na wengine kutoka kulia ni Mke wa Spika wa Zamani Margareth
Sitta, Spika wa zamani Samuel Sitta na Spika wa Bunge Anne Makinda.
(PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment