Wananchi wa Brazil waandamana Kupinga Serikali kujenga Viwanja kwa Ajili ya Maandalizi ya Kombe la Dunia.
Imefahamika kwamba ni zaidi ya watu laki mbili raia wa Brazil
ndio waliojitokeza kwenye maandamano mitaani kupinga serikali ya nchi
hiyo kutumia mabilioni ya pesa kujenga viwanja vya mpira wakati kuna
matatizo kibao mtaani ikiwemo kodi kupanda.
Wakati Brazil ikiwa inajiandaa kuwa mwenyeji wa kombe la dunia 2014 pamoja na Summer Olympics 2016, wananchi wake wengine wamelalamikia pia kuzidi kwa rushwa kwenye serikali, elimu kuwa mbovu pamoja na huduma za afya.
No comments:
Post a Comment