BENKI YA BADEA WAIPIGA JEKI SERIKALI YA TANZANIA JUMLA YA DOLA ZA KIMAREKANI 750 KUSAIDIA MIRADI YA MAJI NA KITUO CHA PAN AFRICAN
Waziri
wa Fedha Dk. William Mgimwa akiongea jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki
ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA) Abdelaziz Khelef wakati wa
utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za kimarekani
450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango,
Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani 300,000/= kwa
ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha
Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Utiaji saini huo
ulifanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Fedha Dk. William Mgimwa (kushoto) akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa
Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA) Abdelaziz Khelef mara
baada ya kumalizika utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania
dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo
ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani
300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo
cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Utiaji saini huo ulifanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini
Dar es Salaam.
Baadhi
ya maofisa kutoka Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA)
wakifuatilia utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za
kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya
Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani

wa Maji Prof. Jumanne Maghembe akipongeza Waziri wa Fedha Dk. William
Mgimwa (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa utiaji saini wa
makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili
ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani
Mara na dola za kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi
kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo
Kikuu cha Dar es Salaam yaliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency
jijini Dar es Salaam. Kuli ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu kwa
Maendeleo ya Afrika (BADEA) Abdelaziz Khelef.
Baadhi
ya maofisa kutoka Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA)
wakifuatilia utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za
kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya
Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani
300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo
cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Utiaji saini huo ulifanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini
Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment