MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SIKU 4 WA MAWAKALA WA USAFIRISHAJI WA MAJINI KWA NCHI ZA MASHARIKI YA KATI KWA AFRIKA JIJINI DAR.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa Mwaka wa
Mawakala wa Usafirishaji wa Majini kwa nchi za Mashariki ya Kati kwa
Afrika, ulioanza jijini Dar es Salaam na unaofanyika kwa siku nne.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, wakati
alipowasili kwenye Hoteli ya Double Tree, kwa ajili ya kufungua Mkutano
Mkuu wa Mwaka wa Mawakala wa Usafirishaji wa Majini kwa nchi za
Mashariki ya Kati kwa Afrika, ulioanza jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Mheshimiwa Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati
akisoma hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa mkutano huo.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Mheshimiwa Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati
akisoma hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa mkutano huo.
Rais wa FIATA, Stanley Lim, akizungumza wakati waka wa ufunguzi wa kutano huo.
Waziri
wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akizungumza kabla ya kumkaribisha
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe,wakiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo.
No comments:
Post a Comment