EXCLUSIVE PICTURES::TAZAMA JINSI DIAMOND ALIVYOPOKELEWA NCHINI COMORO
Ukweli ni mara yangu ya kwanza kufika Comoro na nilifurahishwa na ukarimu wa watu hawa na jinsi walivyonipokea vyema..kweli Africa yote ni ndugu wa baba mmoja |
Baada ya kutoka Airport nilifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha nchini Comoro. |
No comments:
Post a Comment