Sunday, March 31, 2013

YANGA YABANWA NA POLISI MORO TAZAMA MECHI ILIVYOKUWA.

Kikosi cha timu ya Yanga kilichoanza leo kutoka chini kushoto Luhende , Msuva ,Twite, Kiiza, Domayo.na Waliosimama kutoka kushoto Canavaro,Chuji,Bartez,Bahanuzi,Yondani Nizar Khalfani
Timu ya polisi iliyoanza leo Admioni , Fred, Kondo , Ngwangila , Kabipe , waliosimama kutoka kushoto Kissi,Marwa , Machaku, Rambo,Yasin
LIGi kuu ya vodacom imeendelea leo kwenye viwanja kadhaa ambapo kwenye uwanja wa Jamhuri Morogoro,wenyeji Polisi Moro,weanapambana na vinara wa ligi hiyo Yanga..
Makocha wa Yanga wakijadiliana jambo



  Nahodha wa yanga Nadir Hardub' Canavaro'  Jembe, akimdhibiti vilivyo mshambuliaji wa Polisi Moro Keneth Masumbuko.

Mbutu twite akipambana na kabipe wakati wa pambano na polisi morogoro na yanga mchezo uliochezwa uwanja wa jamuhuri mjini morogoro.


  Mkocha mkuu wa yanga akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo kati ya timu yake na Polisi morogoro uliomalizika kwa sale ya 0-0

No comments:

Post a Comment