Sunday, March 24, 2013

Lazaro Nyalandu on baa ya Makumbusho kufungwa march 22 20130
Habari leo on internet kukatika march 22 2013  Habari leo on usafiri wa treni Dsm march 22 2013
Mwananchi on mashabiki wa Simba kuzichapa airport march 22 2013
Mashabiki wa Simba wapigana airport Dar es salaam march 22 2013
Mashabiki hao wa Simba walizichapa baada ya kugundua baadhi yao walikwenda uwanjani kwa lengo la kumfanyia vurugu mwenyekiti wao wakati wa mapokezi, kabla ya mashabiki kutwangana, mashabiki waliokuwa wakimuunga mkono mwenyekiti wao walikuwa wakiimba nyimbo mbalimbali na walionekana wenye matumaini makubwa na Rage huku wakisisitiza bado wanautambua uongozi wake na hakuna anayeweza kumuondoa zaidi yao wenyewe.

Hata hivyo, baadaye lilitokea kundi dogo la mashabiki wa Simba ambalo lilisadikiwa kuwa ni kundi la Mpira Pesa ambalo limekwenda uwanjani hapo kwa ajili ya kufanya fujo na hivyo kuanza kushambuliwa kwa makonde wakidaiwa kuhusika na mkutano uliotangaza kum-wondoa Rage madarakani.
Madee on kumsifia Chidi BENZ kwenye interview XXL march 22 2013

No comments:

Post a Comment