Wednesday, March 27, 2013

WABUNGE WAMALIZA MAFUNZO YA JKT
 
Mbunge wa Kinondoni, Idd Azan na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, wakiwa katika gwaride maalum, wakati wa sherehe za kuhitimu mafunzo ya JKT jana Mkoa wa Pwani. Jumla ya wabunge 23 kati ya 47 walioteuliwa kujiunga na mafunzo ya JKT, wamehitimu mafunzo hayo jana huku 24 wakiingia mitini, 'Kazi ya Geshi Ugangamale'.
Wahitimu hao wakila kiapo jana wakati wa mahafali hiyo.
Kiapo...
Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi
Zitto Kabwe, akiwa na wahitimu wenzake wakipiga kwata.....
Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya muda mfupi ya JKT Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya, katika Kambi ya JKT RUVU.
Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Mhingo Rweyemamu, akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya JKT Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, wakati wa kuhitimu mafunzo hayo.
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, akiwa na wahitimu wenzake wakati wakila kiapo...
Zitto Kabwe na wahitimu wenzake wakila kiapo.

No comments:

Post a Comment