Sunday, March 31, 2013

MATUKIO YA MVUA KUTOKA MIKOA MBALI MBALI HAPA NCHINI KATIKA PICHA:.

1. Arusha 
Nuhu Muna
Ripota wa nguvu Nuhu Muna ametuma hii picha kutoka Arusha Mo wa Mbu kuhusu mafuriko ya juzi ambapo yaliharibu vitu vingi lakini hakuna kifo chochote.

2. Kagera
Asante kwa Ripota wa nguvu Pius Adolf ambae ametuma hizi picha kutoka Kagera akisema ni mvua kubwa mkoa wa kagera juzi.
Asante kwa Ripota wa nguvu Pius Adolf ambae ametuma hizi picha kutoka Kagera akisema ni mvua kubwa mkoa wa kagera juzi.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment