Monday, March 4, 2013

HAPPY BIRTHDAY NIKKI MBISHI BABUU WA KITAA

Niki mbishi Leo hii tarehe 4 / 03 ni siku ambayo amezaliwa Nikki mbishi, rappa mwenye mistari konde na tata katika mziki wa hiphop,lakini pia ni siku ya kuzaliwa ya msanii wa kitambo kwenye hiphop na mtangazaji wa Clouds TV, Babuu wa kitaa....happy birthday na maisha mema na marefu Babuu wa Kitaa.

No comments:

Post a Comment