Sunday, March 31, 2013

IKULU ZANZIBAR YAICHAPA IKULU DAR 4-2


Mchezaji wa Timu ya Ikulu ya Zanzibar Mpira wa miguu Ali Mwinyi (kulia) akijaribu kumtoka Shaaban Kasanga wa Timu ya ikulu Dar es Salaam,katika mchezo wa Kirafiki   katika kusherehekea wiki ya Pasaka,katika mchezo huo uliochezwa leo katika Uwanja wa Amaan Studium, Ikulu Zanzibar ilitoka kifua mbele kwa mabao 4-2.

No comments:

Post a Comment