Friday, March 29, 2013

BALOZI MPYA WA UAE ABDULLA IBRAHIM AL SOWAIDI AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO WAKE

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Muungano wa Falme za Kiarabu UAE,Mhe.Abdulla Ibrahim Al Sowaidi ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Juma Maharage.

No comments:

Post a Comment