Friday, September 21, 2012

TANZANIA TEA BLANDERS KUWASOMESHA WATOTO 40

 Mjumbe wa Bodi ya SOS, Daudi Makobore akisaini mkataba wa utambulisho ( MOU) kati ya SOS na Tanzania Tea Blanders kwa ajili ya kuwasomesha watoto 40 kati ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho.
Dk. Alex   Lengeju (Director of SOS Villages, Rita  Khuranga (National Director SOS, Dk. Daudi  Makobore (Board member SOS) (wa mwisho kushoto) wakipokea mfano wa hundi kutoka Mr. D.Ravi Kumar-Chief  Finance Officer (Signing the MoU) Tanzania Tea Blanders, kwa ajili ya kuwasomesha watoto 40 kati ya watoto wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto yatima SOS, jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment