Saturday, September 8, 2012

Umati wa Waislamu ukiwa umekusanyika leo nje ya Wizara ya Mambo ya Ndani kushinikiza wenzao waliokamatwa baada ya kugomea zoezi la Sensa.
.
Picha zote zimetoka hakingowi.com
Nafatilia zaidi kujua itafikia wapi.

No comments:

Post a Comment