Friday, September 21, 2012

MUONEKANO MPYA WA MUINGIZAJI ELIZABETH MICHAEL 'LULU'

Muigizaji nyota wa Filamu nchini Elizabeth Michael a.k.a Lulu (17) anayehusishwa na kifo cha Muigizaji Mwenzie, Marehemu Steven Kanumba, aliyefariki dunia Aprili 7 mwaka huu nyumbani kwake maeneo ya Vatican Sinza Jijini Dar es Salaam. Akiwa katika muonekano mpya tokea amepelekwa lupango. Kwa sasa msanii huyu anaonekana kunenepa wakati kila mtu anaamini yuko kwenye kipindi kigumu sana pengine kuliko vipindi vyote katika maisha yake tangu azaliwe. Kingine najiuliza siku zote ile mimba ambayo ilikuwa ikiongelewa sana imepotelea wapi?


No comments:

Post a Comment