Tuesday, September 18, 2012

.
Raia wa Nigeria wanaoishi Uingereza wametajwa kushika nafasi ya nne katika list ya raia wa kigeni wanaongoza kwa kutumia pesa nyingi kufanya shopping nchini Uingereza.
Utafiti uliofanywa umeonyesha kwamba kila mmoja hutumia kuanzia £500 na kuendelea ambapo kwa tathmini iliyofanywa ni kwamba wanigeria wanafanya mara nne ya wanavyofanya waingereza wenyewe.
Imefahamika pia kwamba siku za likizo au ndugu kutoka Nigeria wanapowatembelea wenzao U.k ndio matumizi yanaongezeka sana.

No comments:

Post a Comment