Wednesday, September 5, 2012

Martin Kadinda ambae ni mbunifu wa mavazi ambae ameshawavalisha mastaa kadhaa wa bongo kama Diamond Platnums, Aunt Ezekiel, Wema Sepetu, Chaz Baba, Ommy Dimpoz na wengine kwa sasa yuko New York Marekani alikokwenda kwa ajili ya kushiriki Africa New York fashion week na kisha atahudhuria New York fashion week.
.
Mtanzania Millen Magese.
.
.
.
.
.
.
.
Mtaani
Martin Kadinda ambae pia ni meneja wa mwigizaji Wema Sepetu aliondoka Tanzania August 29 2012.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment