Saturday, December 22, 2012

VODACOM YAWAKABIDHI ZAWADI WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA NA NOKIA.

Pichani Mkazi wa Buza nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Eusedia Donald, (katikati) akipokea zawadi ya simu aina ya Nokia 302 kwenye duka la Vodacom lililopo eneo la Mlimani City Dar es Salaam jana, kutoka kwa Meneja Mauzo wa duka hilo Salim Salmin (Kulia) kufuatia promotion ya shinda na Nokia inayoendelea. (Kushoto) ni mwakilishi wa Nokia Magreth Tendwa

No comments:

Post a Comment