Monday, December 10, 2012

‘AFTER SKUL BASH’ YAACHA GUMZO, DAR UFUKWE WA KAWE

Mwana FA akipagawisha.
WAPENZI wa burudani hususan wanavyuo, jana walipata kitu roho inapenda katika tamasha kubwa la wanavyuo lililofanyika ufukwe Mbalamwezi uliopo Kawe jijini Dar tamasha ambalo liliitwa jina la kijanja, ‘After Skul Bash’.
Wadau hao waliofurika ufukweni hapo walikonga nyoyo zao kwa kupata burudani kutoka kwa wasanii wakongwe na chipukizi wenye vipaji ambao walipewa nafasi ya kuonesha maukali yao.
 
 Ommy Dimpoz akifanya mavituz.
Linex akikamua.
Sheta akidatisha mashabiki.
Mashabiki wakijimwaya.
Kala Jeremia akikamua.
Godzilla akiwa kazini.
Wasanii chipukizi kutoka pande za Kinondoni, Dar, wakionesha umahiri wa ‘kushek’.

No comments:

Post a Comment