Saturday, December 22, 2012

.
Pamoja na kwamba kuna taarifa zisizo sahihi kwamba mwisho wa dunia ni dec22 2012 saa sita usiku mitandao mbalimbali imeanza kutoa picha za baadhi ya watu mbalimbali duniani wanavyoanza kujitayarisha kuhusu mwisho wa dunia.

Ukweli kwa mujibu wa vitabu vitakatifu, hakuna aujue mwisho wa dunia. 
(Kwa hisani ya: millardayo.com)

No comments:

Post a Comment