Wednesday, December 12, 2012

RAIS SHEIN AZUNGUMZA WATUMISHI WA WIZARA YA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara  ya Miundombinu na Mawasiliano,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,( kushoto)  Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi,pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahya Mzee. [Picha na RamadhanOthman,Ikulu]

No comments:

Post a Comment