Saturday, December 22, 2012

LEMA ASHINDA RUFAA YAKE ACHEKELEA KURUDIA UBUNGE

Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbrese Lema, akiongoza na na wafuasi wake wa Chadema baada ya kushinda Rufaa yake ya kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika Mahakama ya Kanda ya Dar es Salaam iliyokuwa ikisikilizwa katika Mahakama ya Rufaa jijini Dar es Salaam. Hapa ni wakati akitoka Mahakamani hapo.
Lema akipunga mkono kwa wafuasi wake wakati akitoka Mahakamani hapo.
 Wafuasi wa Chadema walivyoupokea ushindi wa Lema jijini Arusha baada ya Mahakama  Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutangaza ushindi huo.

No comments:

Post a Comment